檔案總覽
📌 Dah hawa b 共 42 條紀錄
主帖子 @official_pck
❤️ 347
Dah hawa bado wapo jela mpaka leo

@diamondplatnumz fanya interview moja basi ukiomba hawa nao waachiwe waungane na ndugu zao
回覆 @rachelmuhehe
❤️ 0
😭😭😭😭😭
回覆 @winfridahmiruka
❤️ 0
Aki nimelia 😭😭
回覆 @abed.i92
❤️ 1
Mungu anaona
回覆 @hajishemaghada
❤️ 0
Washaachiwa kitambo sanaas
回覆 @sweetnesmarebwa
❤️ 3
adi nimelia Jamani
回覆 @flaviodacostaoliveira
❤️ 0
Esse e o time da seleção brasileira chegando para copa do mundo
回覆 @mbalila_store
❤️ 2
Walishaa achiwa acha upotoshaji mnatumia mitandao vibaya
回覆 @hadjisalehebakari
❤️ 4
Pole yao lakini tujifinze, tuepuke ushawishi wowote ambao una viashiria vya uhalifu, uvunjifu amani au kukinzana na mamlaka. Kama Kuna uhalali wa kudai haki basi iwe kwa amani kwa kuzingatia Sheria, ona Sasa wale washawishi wote kwa Sasa hawana msaada wowote MUNGU ibariki TZ.
回覆 @ones.mo1234
❤️ 0
E we Mungu 😭😭😭😭😭😭
回覆 @said_masoftware
❤️ 3
hao vibaka acha wavune walichopanda
回覆 @bahhamesa
❤️ 0
Si mnachukua nchi afu mwatoe wenyew ..ma zerobrein
回覆 @ashleysaidtitu
❤️ 0
Mange kimambi kawa ingiza mkenge mwenzao yupo ulaya wao wateseka na familia za teseka
回覆 @asinwanubin
❤️ 0
Walifanya nini vile?
回覆 @prince_mtitu
❤️ 2
Mungu awape nguvu
回覆 @mwaipopo2025
❤️ 1
Waliowatuma kuandamana wanakunywa juice ya miwa na popcorn marekani, Kenya, Japan nk
回覆 @emmanuelaronl
❤️ 0
Acha uhuni wewe
回覆 @rajabmmero
❤️ 0
Hawajabadilisha nguo Hadi leo
回覆 @sambigasabdi
❤️ 0
Inauma sana,but Dunia hii!!!???
回覆 @makalaanzuruni28
❤️ 0
Walisha achiwa mbona
回覆 @khamisfk1
❤️ 0
Mukawasaidiee ,,, nyinyi mkiowahamasisha
回覆 @lilou.nunes1
❤️ 0
C'est l,Afrique
回覆 @hassani0621
❤️ 0
Sasa unafungaje walemavu
回覆 @sambalamkuu
❤️ 0
Hatarii sana
回覆 @dieudonne.nizeyimana.33
❤️ 0
Bashize abarundi
回覆 @slayie17
❤️ 0
Mungu ni mkubemwa wa kila k2 hakika anaona kila k2 yeye ndio mbora na yeye ndiye mwenye hukumu Allah bariki kwa kila jambo Amiin 🙏🏽
回覆 @azan6719
❤️ 1
Wacheni UJINGA video ya zamani hii
回覆 @cherryadeorange
❤️ 1
Sina taarifa kama wote wametolewa lakini najua kuna baadhi walitolewa miezi ya nyuma na wawili walichangiwa pesa za kutosha
回覆 @hassjuniortz
❤️ 0
Mchuma janga..........?
回覆 @henryokumu192
❤️ 0
Kwan Ruto amekuja akapiga wa Tz risasi ya mguu
回覆 @gadsonkagari
❤️ 0
Hawa siwashaachiwa
回覆 @silalicyrus3
❤️ 0
Lo
回覆 @joeljustus45
❤️ 1
Watanzania tulahani upumbavu ulio tokea ambaye hakufariki aliishia kilema watu wamewekwa virema vya maisha uutu uko wapi mungu watu wambinguni wewe ndie mweza yote wapate adhabu ya huarifu walio fanya pole tena ndugu zetu arafu nyie ndio mnaenda Kama waarifu wako ndio inocent
回覆 @mwaihojo_isaac
❤️ 0
Wewe mbona haujafa wala kuwa kilema siku ingine saidia jamii kabla ys janga ukisikia mtu anakuambia anakinukisha anzia hapo hapo kumzuia. Ili kusiwe na vifo na vilema huo ndio mwanzo mwema. Ila kama mtu anakinukisha basi tuwe tayari kunusa.
回覆 @pakizamash
❤️ 0
INSHAALLAH SAMIA ALLAH WILL PUNISH YOU INSHAALLAH
回覆 @peterchrisant2
❤️ 0
Yan hao waliobaki uko niwale ambao hawana ndugu wa kuwasemea wala kuwalilia pia niwale masikin ambao hata waombwe 100k ili mambo yawemepes hawana
回覆 @leonardluhabula
❤️ 0
Iyo dhambi itawala askar magerez wot na serikal ya wauwaj
回覆 @tegasony79
❤️ 1
Hii serikali ya kishenzi sana sasa kama Hawa wagonjwa unawaweka jera ili wafie huko jamani 😢 😭 hii sio haki kabisa
回覆 @shabbanzubbery
❤️ 0
Daah inauma sana😭😭😭
回覆 @zeemohamed56
❤️ 0
WAWAITE WALOWAHAMASISHA KUFANYA FUJO
回覆 @peterchrisant2
❤️ 0
Yan hao waliobaki uko niwale ambao hawana ndugu wa kuwasemea wala kuwalilia pia niwale masikin ambao hata waombwe 100k ili mambo yawemepes hawana
回覆 @big_up555
❤️ 0
Wacha wapate haki yao. Ni wezi hao